Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Harmonz ni msanii mzuri sana
Ila nadhan alikosa namna yakushauriwa
Nadhani alilewa sifa
Nadhan ...nadhani lengo lake ni kupigana na diamond mwenyewe
Hi itamletea shida mno
Hatoweza
Na akiweza itamlazimu apunguze nember wake ili ajikusanye yeye mwenyewe!
 
Konde kwa sasa kitakachoibua morali na kuchangamsha brand yake ni tour za nje tu.
 
Hivi huyu baba Paula usije akaanza kumshindanisha na Angella na Zuchu
 
INVITEES ONLY

vs

INVITED ONLY


Haya tuone kama ada za wazazi wenu zilitumika ipasavyo.

I was shocked too, let’s say tunajua harmonize nikilaza , where was jembe when this rubbish was written?, Ina maana wote ni vilaza ama

All in all , big congrats to konde boy, kutoka wcb na kuendelea ku shine that shit is rare , we all know what wcb is capable of when Msanii akitoka kwao, I support konde boy [emoji817]
 
harmonize ni msanii mkubwa sana,baada ya wasafi lebel nzima.

hatakiwi kupangiwa cha kufanya na mashabiki wa wcb.
 
Kweli JF ni "Home Of Great Thinkers" Kumbe hadi wambea wanatema Yai Ivi [emoji91]
 
Ameeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…