Roho zinawauma hao jamaa kumuona diamond akifanikiwa..aiseeeee..au labda kuna poster ambazo efm au clouds walishatoa kwa msanii diamond kumpa sapoti ya kupigiwa kura..yani mtangazaji wako anaondoka kwa amani na zaidi anafuata maslahi wewe unachukulia kama bifu halafu unampaisha mwanafunzi wake aliyemuokota from the dust, akamuamini na kumpa nafasi ..utoto kabisa ...huwezi kumshusha mtu kwa namna hio, watashuka wao kwanza