Harmonize kutoa Album ya Kumsifia Rais Samia!

Harmonize kutoa Album ya Kumsifia Rais Samia!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mwimbaji Harmonize amesema May 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambayo ameipa jina la ‘Muziki wa Samia’.

Inasemekana Harmo ambaye pia amewahi kuishi kimapenzi na Kajala ambaye ni mtalaka wa Master J a.k.a Kimario na pia kuhisiwa kupita na mtoto wa Kajala.

Harmonize amesema album hiyo ni ya mwisho kwake na kusisitiza kuwa ameimba sana kuliko kawaida na ametengezeneza nyimbo 10 ambazo zote zinamlenga Rais Samia.

Inasemekana amelipwa fedha nyingi kufanya hivyo kuhuku wengi tukiamini ni mapenzi yake mwenyewe kwa raisi, na hali ilivyo tullivu kwa sasa.

Wapenda mema msiache kujumuika na Wengine kusheherekea mema ya Mama.

Note: Paula na Kajala hawajatoa tamko na baba mkwe wa zamani wa Harmo naye hajatoa tamko?


Screen Shot 2024-05-20 at 19.07.30.png


Screen Shot 2024-05-20 at 19.24.49.png
 
Back
Top Bottom