Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake mondi na dogo lake rayvany .. kwakweli dogo ndo anaongoza sasa ..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app