Harmonize msani mwenye bahati sana

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
Wakuuu hamjambo ..hope mmeamka salaam.. niende moja kwa moja kwenye mada ...Mmakonde Harmonize mziki wake ni mzuri sana yeye huwa anaimba kinacho eleweka na huwa atumiy sana matusi kama babaake mondi na dogo lake rayvany .. kwakweli dogo ndo anaongoza sasa ..lakin tatizo Lipo pale wasafi dogo wameanza kumbania kiaina ngoma zake wanazichelewesha hadi ana mind ..dogo anajituma sana tena sana kuliko wasani ote pale wasafi dogo sio tena mtoto wakuburuzwa tu wanavyotaka mwenyewe Asha tengeneza mazingira mazuri Nigeria na Ghana na Kenya... wasafi wawe makini wakiendelea kumzinguwa dogo ataondokazake...kama walitengana wale mapacha wa Nigeria itashindikanaje harmo kuondoka wasafi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi tayari??

Kunywa chai kwanza ndio uandike vizuri..
'Msani' ndio nini?

Hao psquare unaowachukulia kama reference unaona wako sawa kama walivyokuwa pamoja...ni watu wachache sana waliowahi kutengana wakatusua..

Harmonize yuko kama unavyomuona sababu ya management nzuri ya WCB akitaka tumsahau aondoke pale aende kwenye management nyingine ambayo itakuwa after pesa zake na umaarufu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hebu ntafsirie huu mstari una maana gani kwenye Kwangwaru "Paka mate niteleze kama nyoka pangoni"
 
Kweli ww bestmale [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Write your reply...kuhusu issue ya ngoma kuchelewa anasema alipanga toka week iliyopita atoe ngoma tatu ila mpaka kesho jumatatu alighairi!. so tusubiri kesho ikiwemo hiyo afrobongo na burna boy
 
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…