Harmonize muda sio mrefu atakuwa star namba moja WCB badala ya Diamond..

Harmonize muda sio mrefu atakuwa star namba moja WCB badala ya Diamond..

Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!

Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.

Hakika naliona anguko la Chibu likianza!

Kwa hiyo we huelewi huyo HARMO RAPPER hata cha kuimba anapangiwa na diamond au makusudi tu?
 
ASLAY ndio atapokea kijiti cha Diamond, kijana ana mziki mkubwa na nyota kali, hahitaji kiki kufanya vizuri. Ukitaka kuujua ukubwa wa huyu dogo tembelea u-tube nyimbo zake au mcheki kwenye show zake, redioni hawachezi sana nyimbo zake ila raia kwenye show wanaimba naye mwanzo mwisho kila wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!

Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.

Hakika naliona anguko la Chibu likianza!
RAVYANNY afe kwanza afu mavoko apate ububu ama kwa hakika hapo atakuwa star pale...yy anamuiga diamond afu anayemuiga anaporomoka yy apande!!!!!...labda apande mboga maboga siyo apande kimuziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Shida watanzania tumezdshha chuk za maendeleo. Utasuubri sana
 
Talent pale ni mavoko tu wengine wanjanja wanjanja
 
Back
Top Bottom