Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!
Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.
Hakika naliona anguko la Chibu likianza!
Huo msemo kwa kiswahili una maana gani?
Kwani dogo Asley yuko WCB ? Nadhani hujamuelewa mtoa hoja.Bora hata ungesema Dogo Asley kuliko huyo jamaa
RAVYANNY afe kwanza afu mavoko apate ububu ama kwa hakika hapo atakuwa star pale...yy anamuiga diamond afu anayemuiga anaporomoka yy apande!!!!!...labda apande mboga maboga siyo apande kimuzikiHakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!
Hasa baada ya Diamond kuanza kuimba nyimbo za singeli.
Hakika naliona anguko la Chibu likianza!
Una stress sana za kuolewa ww boya yanavyokutokaRAVYANNY afe kwanza afu mavoko apate ububu ama kwa hakika hapo atakuwa star pale...yy anamuiga diamond afu anayemuiga anaporomoka yy apande!!!!!...labda apande mboga maboga siyo apande kimuziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Vokal anaimba domo.
Elimu ya mjinga ni majungu!Hakika huyu dogo kwa umakini na umahiri wa hits anazotoa, muda si mrefu atakuwa nyota namba one pale WCB na Tanzania kwa ujumla!