Mtoa mada nimekuelewa, tena kwa sasa harmonize ametoa nyimbo kali kuliko d, yaani niambie, happy birthday na sina ukilinganisha na diamond alietoa cover ya if(eneka) , fire, na remix ya i miss you.
Ukweli harmonize yuko poa kuliko d kwa sasa. C kifedha balu ni mashairi na hits