Nyie wanaume wa moto mumepatwa na nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku nyingiiiiii.. nadhani utakuwa ushaziona hizi picha..nimeweka basi tu!View attachment 361990
SAMAHANI LAKINI!!!......
Mmm kinyaaSijala mate mda mrefu sana..
pombe imeiingia maahali yakeHayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku nyingiiiiii.. nadhani utakuwa ushaziona hizi picha..nimeweka basi tu!View attachment 361990
SAMAHANI LAKINI!!!......
Huyo keshamaliza mda ndio mana anapiga selfie na wajukuu zakeAsee huyu jamaa mwacheni hata amalize 40 za msiba wa mama yake basi..
Yes wa KishumunduHuyo mama ni mzungu?
Hahaaa kwa denda hilo lazma usikie njaa.....mana ananyonya mpka chakula ulichokula
So?Staged wauze habar
halaf dogo mda cyo mref natinga hapo bongo likizo. Jiandae kwa mfulululizo wa makofi.
Omba msaada hapo kwenye tutaSijala mate mda mrefu sana..
Hahaha, ni uhaba ama?Sijala mate mda mrefu sana..
Aaahh.... Dunia imechafuka hii.Hahaha, ni uhaba ama?
Umrnikumbusha huyo sumaree cjui kaishia wapiMwache mwenzio apate raha na mpenzi wake[emoji441] [emoji441]
Hahaaaa lol[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na walivokuwa na sifa mfyuuMmakonde akipata...
Utajijuu babuuuhalaf dogo mda cyo mref natinga hapo bongo likizo. Jiandae kwa mfulululizo wa makofi.
Ngeseh ww