Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amelala walipoamkia wenzie.Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao.
Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo.
Sio mbaya lkn.
AiseeKonge gang halistawi kwa sababu ya ufinyu wa upeo wa wanaloliongoza. WBC hamkumteua Makonda, Makonda alijiteua kwa maslahi yake na misifa yake katika siasa. Kunenge hata inyeshe mvua hatokuwa na influence ya kuibeba KG kama wakati fulani alivyofanya Makonda kwa wapinzani wa WCB, Mungu awaongoze wafikie lengo wanalokusudia japo nina mashaka mingi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Konde mgahawa imeishia wapi
Huyu mmakonde anafeli sana,sijui kama ipo siku hiyo lebel yake itaweza mkuza msanii kama yeye alivyokuzwa na wcb.
Anapeleka mambo kiholela holela sana.
🤣🤣🤣🤣🤣Dogo hawezagi kabisa kuwa na creativity ambayo imezaliwa kwnye ubongo wake
Wakati watu wengine wakijitutumua angalau kufanya chochote, ninyi ni majungu tangu January mpaka December.Dogo hajui kuji manage yeye na wala hakufikia stage ambayo ana maturity ya kutosha ya ku manage watu wengine.
Kila analofanya he wants to prove kuwa he is equal or better than Diamond and his former label WCB. Huo ni Ushamba tu! Kwani mziki huwezi ufanya mpaka utake approval ya WCB kwamba namie nimefanya hiki?
ipo mbagala pale..🤣🤣🤣🤣🤣🤣