Haijapingwa ila ukweli lazma usemwe bradhee...I've never been a fan of his music untill anakaribia ku exit wasafi ndio alikuwa anatoa nyimbo nikazipenda.Wabongo bwana ..sisi wabongo ni wepesi sana wakuponda na Kutoa lawama ... Wakati huo huo siku hazigandi na wale ambao wanaopondwa baadhi ndio wanazidi kupaa kimafanikio
Binafsi sioni kama hamo amefanya jambo baya sana sana naona kama mkakati wake ni mzuri sana cause watu wanaofanya hivyo iwe ni wafanya biashara au wasanii kama harmo huwa wanafanyq hivyo kwaajili ya kutafuta security na kujisogeza karibu na opportunity .. so nyie endeleeni kuponda tu hapa mwenzenu ndio anazidi kuchana mabawa wake ili aweze kupaa na kuzifikia ndoto zake
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa mtu aache kufanya vitu vitakavyo mnufaisha kisa tu ataonekana kuwa anaiga ! Mkuu kwani kuna ubaya gani mtu kuiga hatua ambazo zitachangia kumfikisha katika mafanikio .... Huyo diamond ambaye daily tunamsifia humu alipata motisha ya kuanzisha lebel na kuwa na ofisi ya entertainment baada ya kupata exposure alipokuwa anatoka nje ya nchi na kwenda nchi za nje akawa anaona the way watu walivyowekeza katika tasnia ya muziki na yeye akaona kwamba kwa kuwa anayataka manufaa anapaswa kuiga huo mfumo Leo hii baada ya kuiga hiyo mifumo tuna muhesabu kuwa ni miongoni mwa vijana waliofanikiwaHaijapingwa ila ukweli lazma usemwe bradhee...I've never been a fan of his music untill anakaribia ku exit wasafi ndio alikuwa anatoa nyimbo nikazipenda.
Eversince amedrop yani ni kama alikuwa anaandikiwa zile nyimbo. Wanaojua mziki huwezi kushabikia mziki wa Harmonize sababu hauna Soul. Maendeleo nje ya muziki ntampongeza kama kijana mwenzangu.
Hawezi kumshawishi huyo mkuu wa mkoa sio mtu wa kiki! Wala sio muumini wa mamiziki hayo🤣🤣🤣![emoji3][emoji3][emoji3] sasa mtu aache kufanya vitu vitakavyo mnufaisha kisa tu ataonekana kuwa anaiga ! Mkuu kwani kuna ubaya gani mtu kuiga hatua ambazo zitachangia kumfikisha katika mafanikio .... Huyo diamond ambaye daily tunamsifia humu alipata motisha ya kuanzisha lebel na kuwa na ofisi ya entertainment baada ya kupata exposure alipokuwa anatoka nje ya nchi na kwenda nchi za nje akawa anaona the way watu walivyowekeza katika tasnia ya muziki na yeye akaona kwamba kwa kuwa anayataka manufaa anapaswa kuiga huo mfumo Leo hii baada ya kuiga hiyo mifumo tuna muhesabu kuwa ni miongoni mwa vijana waliofanikiwa
Mi nadhani kwanza tulipaswa kujadili faida ambayo harmo ataipata baada ya kufanikiwa kumshawishi huyo mkuu wa mkoa kuwa mlezi wao nasio kuanza kumponda tu as kitu alicho kifanya ni wasting times
Mkuu amekubali au amekataa kwanza nataka kujua hilo [emoji3][emoji3]Hawezi kumshawishi huyo mkuu wa mkoa sio mtu wa kiki! Wala sio muumini wa mamiziki hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
The dude is making the wrong moves. Ukweli huwa hamuutaki wabongo.
Watajuana wenyewe banaMkuu amekubali au amekataa kwanza nataka kujua hilo [emoji3][emoji3]
Though nataka ufahamu kuna mambo mengi sana ya biashara za magumashi ambazo hawa top artist huwa wanazifanya na zina hitaji security ..huwenda ikawa hilo ndio jicho lake lilipo lenga ...hata WCB walipomchagua makonda walilenga hilo pia haikuwa kwaajili ya kick only