Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri
upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon).
Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama.
Too much is harmful hata kama unaipenda lakini jitahidi kubadilika mzee, laasivyo utachokwa mapema.!
Alafu naona mnamuonea sana Director NICK, yule jamaa upole unamponza na ndomana mnaichukulia opportunity hiyo kujichagulia vya kuvaa hatakama vinawatisha au haviwapendezi,
Anyway Ni hayo tu
NB
kwa wale wasioijua headband ni zile wanazopenda kuvaa wacheza tennis.
Mimi nazijua mdogo wangu. Naongea kwa niaba ya wenzangu na mimi kutoka kolomijesiamini kama mpaka wewe huijui headband
Kuna hirizi huwa anaweka hapo...Ni juu ya PAJI LA USO...Kazi yake ni kusaidia kuleta MVUTO..Mimi nikiwa kama mdau wa muziki hapa nchini, nakushauri
upunguze matumizi ya headband(mwenyewe unaiita Ribon).
Serious inakupotezea muonekano na inakuwa kero sana kwa wanaokutazama.
Too much is harmful hata kama unaipenda lakini jitahidi kubadilika mzee, laasivyo utachokwa mapema.!
Alafu naona mnamuonea sana Director NICK, yule jamaa upole unamponza na ndomana mnaichukulia opportunity hiyo kujichagulia vya kuvaa hatakama vinawatisha au haviwapendezi,
Anyway Ni hayo tu
NB
kwa wale wasioijua headband ni zile wanazopenda kuvaa wacheza tennis.
nshukuru umenitoa ujinga[emoji23][emoji23]Wanabasketball wanazivaa ili jasho lisishuke mpaka machoni
Huo mvuto anawavutia akina nani sasa? Labda kama anamroga NaseebKuna hirizi huwa anaweka hapo...Ni juu ya PAJI LA USO...Kazi yake ni kusaidia kuleta MVUTO..
Harmonize hajakaa kispoti spoti...ni mtoto wa kusini hivyo AMEAGA...!!
FUNDI alitaka amchanje CHALE usoni akaona wengi watahoji hivyo kuacha kuvaa LUMUNDI labda asiwe mbele ya watazamaji...
mvuto!!! mbona hafurukuti mbele ya harmorapa.Kuna hirizi huwa anaweka hapo...Ni juu ya PAJI LA USO...Kazi yake ni kusaidia kuleta MVUTO..