Harmonize na vijana wake wapo na Singida Big Stars

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Watu wa Soka,

Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.

Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.

Pia ataongozana na wasanii wote wa Konde Gang akiwemo Ibrah, Anjela na Killy kuhakikisha siku inaenda poa na mashabiki wetu wanaburudika ipasavyo.

Siku hili ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi kizima cha timu yetu ya Singida Big Stars sambamba na benchi zima la ufundi huku tukio zima likichagizwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco ya Zambia ambao tayari wameshawasili nchini.

KOH KOH KOH! YAW YAW!
 
INAPENDEZA SANAAA
Kila Mkoa ikiwa na MAPENZI kwa TEAM yake lazima soka liendelee Tu ata uko duniani kila team ina mashabiki wakutosha tu eneo ilipotokea mfano Newcastle,fulham,brighton ni team ndogo tu uko EPL ila mashabiki wanajaa siku ya game na huwaambii kitu kuhusu team zao wakakuelewa......Sasa uku sisi wabongo ni USIMBA na UYANGA Tuuuuuuu yaani jitu liko Shinyanga,Misungwi,Kazuramimba,Ikwiriri uko ila linapigana kisa Simba au Yanga team ambazo zenyewe tu majengo yao yote yameoza pale kkoo sio Msimbaz wala Jangwani sembuse watakuongezea nini apo mtaani kwako???

Shoutout kwa mashabiki wa Coastal na Singida Big stars kwa Uzalendo wa team za mikoa yenu...pia Mbeya city,Mtibwa,Namungo hawako mbali[emoji91]

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa Soka,

Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.

Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.

Pia ataongozana na wasanii wote wa Konde Gang akiwemo Ibrah, Anjela na Killy kuhakikisha siku inaenda poa na mashabiki wetu wanaburudika ipasavyo.

Siku hili ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi kizima cha timu yetu ya Singida Big Stars sambamba na benchi zima la ufundi huku tukio zima likichagizwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco ya Zambia ambao tayari wameshawasili nchini.

KOH KOH KOH! YAW YAW!

Watu wa Soka,

Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.

Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.

Pia ataongozana na wasanii wote wa Konde Gang akiwemo Ibrah, Anjela na Killy kuhakikisha siku inaenda poa na mashabiki wetu wanaburudika ipasavyo.

Siku hili ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi kizima cha timu yetu ya Singida Big Stars sambamba na benchi zima la ufundi huku tukio zima likichagizwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco ya Zambia ambao tayari wameshawasili nchini.

KOH KOH KOH! YAW YAW!
 
Attachments

  • FB_IMG_16588188325252636.jpg
    FB_IMG_16588188325252636.jpg
    24.9 KB · Views: 5
Hongereni kwa usajili mzuri.

Ila hofu yangu tu iko kwa hawa Wabrazil! Naona mmesajili wengi! Na kwa bahati mbaya siyo watu wa kaI kazi.

Walau mngesajili wawili, halafu mkaenda nchi za Afrika ya Magharibi kuongeza mijitu yenye nguvu na kasi, ingependeza sana.
 
Back
Top Bottom