Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Nipo hapaOyaa wanyaturu wenzangu ..tuko pamoja Singida Big Star oyeeeeeee...
Watu wa Soka,
Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC.
Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida.
Pia ataongozana na wasanii wote wa Konde Gang akiwemo Ibrah, Anjela na Killy kuhakikisha siku inaenda poa na mashabiki wetu wanaburudika ipasavyo.
Siku hili ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi kizima cha timu yetu ya Singida Big Stars sambamba na benchi zima la ufundi huku tukio zima likichagizwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanaco ya Zambia ambao tayari wameshawasili nchini.
KOH KOH KOH! YAW YAW!

Channel gani inarusha tukio lenu au tusikilize tibisi taifa?Hatukuona ulazima wa kufanya hivyo mkuu.
Channel 105 -Azam Sports 1HDChannel gani inarusha tukio lenu au tusikilize tibisi taifa?