Harmonize na Wimbo wake Mtaje

Harmonize na Wimbo wake Mtaje

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Wakuu kama mjuavyo mtu wenu ambae chochote kibaya kizuri kwangu ndani ya Jf siwezi ficha wala kukaa kimyaa.

Dogo Harmo katoa nyimbo nzuri sanaa ila sasa hii nyimbo pasi na shaka kamuimbia bibi yetu Kajala. Kweli nyimbo iko bomba ila Sa nacho jiuliza kipi hasa alicho pewa na yule Mama kiasi kwamba amuimbie nyimbo bomba kiasi kilee? Au alipulizwa. Eeeh? Cheki alikuwa na Mzungu mara Wolper ila kwa nini yule Bi Mkubwa?

Any way hayo ni maisha ya mtu ila kinacho niboa nyimbo nzuri sanaa sema tuu kamuimbia mtuu maalum.

Nyimbo jina lake "Mtaje By Harmonize"
 
Daaah! Nancy angemsikiliza yule msela nya... Leo angekuwa kaachika baada ya kuchuja au yupo vibarazani mabibo anagombana na wamama wenzie mambo ya marejesho ya vicoba.
Kha 😹😹😹😹😹😹
 
Siyo nyimbo ni wimbo, halafu katika album yake pia kuna single track kamuimbia Sarah
 
Nyimbo za siku hizi zinatia hata uvivu kusikiliza, kabla hata sijasikia tayari kichwani najua nitakutana na maudhui ya namna gani....r.i.p bongo fleva
 
Dogo target yake ale yule mtoto tu ndio nafsi itatulia. Anajuta kumuonyesha dogo Dudu na hakumla.
 
Mtu na akili zako unaweza kuwa na Kajala kweli? Hapa bongo mjanja wa hizo mambo ni Diamond tu.
Hao ni kupiga na kusepa, hakuna kuweka kambi. Kajala, Wema, Wolper na wengine
Huyo Makonde amekuja juzi mjini naye anajiona mjanja. Hao mademu wapo kimaslahi zaidi, akikuomba umnunulie 🚗 la milioni 50, ahadi zikawa nyingi, kesho mapema asubuhi anakupiga chini.
 
Unajiuliza konde kumuimbia wimbo kajala tena singo tu...
Mwenzake bishoo wa manzese na tiptop alimuimbia Nancy album nzima[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom