Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa.
Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo:
1. Single Again
2. Wote
3. Leave Me Alone ft Abby Chams
4. Amelowa
5. Jeshi
6. Deka ft Mabantu
Na nyingine nyingi.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, kuwa na nyimbo zaidi ya 5 currently zinazohit zote siyo kazi ya kitoto hata kidogo.
Uzuri nyimbo zake zina maadili, unaweza kusikiliza hata na mama mkwe sebuleni kwako(kasoro "Amelowa").