GE2025 Harmonize: Nimeghairi kugombea Ubunge, nitashindwa kutamka 'Bomboclaaaaty'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
​
Nimepitia Sheria za kamati ya Maadili ya Chama & Bunge

Simuoni KONDEBOY kwa ninavyoona hata kusema BOMBOCLAAAATY sitoruhusiwa. Niwapongeze wana CCM mliojitoa Kutangaza Nia za Kugombea Nafasi Tofauti Tofauti Especially Vijanaa.

DINI YENYE WAFUASI WENGI UJUE INAKUBALIKA. Tandahimba Chagua Kiongozi Bora atake Msaidia RAIS wetu miaka 5 Ijayo. Am Hungry for More Success Music, 30 inshallah MAYBE!
 
Amechagua njia sahihi Sana
 
Ameogopa bure angepitishwa kuwa mbunge, hao ndo aina ya watu mama yao anawapenda huku akichukia wenye weledi na walioamua kutetea maslahi ya Tanganyika
 
Hawa machawa wa ccm wangekua Kenya watu wangesusia kazi zao sema huku Hawa gen z wetu wanawaza viduku na piano tu
 
Moombooclat ndio nini Wazee monitor ushamba
Hilo neno

Kiswahili - kmmmk
English - Mother f*****

So ni neno la Kijamaika linalotumiwa Ku-offend au kuonesha mshangao Fulani negative. Ila smokers wao wanapenda Sana hilo neno.
 
Hilo neno

Kiswahili - kmmmk
English - Mother f*****

So ni neno la Kijamaika linalotumiwa Ku-offend au kuonesha mshangao Fulani negative. Ila smokers wao wanapenda Sana hilo neno.
Kwa hio kwa wala vijiti ni neno famous sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…