Harmonize sio poa kutafuta Kiki kupitia kifo Cha Mhe Magufuli

Hamo mjinga kama wajinga wengine tu. Hivi kama si umbumbumbu unadhamiria kabisa kuset kamera za simu yako tena unaweka front camera, unaamua kuanza kulia! Unamaliza kulia unasave video clip? Unaangalia kama umelia vzr au la!😁 unagundua umelia vibaya,🤣🤣 unarudia upya, unalia vzr kisha unaitafta Instagram iliko! Unatafakari uandike nini ulivolia ili upost🤣 ....
Ni mjinga pekee anaweza kufanya hayo yote🤣
 
Yule dogo sijawahi kumuelewa,sijajua ni ulimbukweni sijui ni ushamba..Any way nahisi ni utoto mwingi unamsumbua huyu kijana.
 
Kwahiyo nyinyi wote mnataka kufanyaje kwa mfano?
Nendeni kwa huyo konde basi mkamshambulie kwa mangumi sio mnabwabwaja hapa kama wanawake
 
😄😄 askari wetu nao 'changamoto' kamata, tia bakora!
 

😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…