Mzee wa A go die na kila video lazima avue shati yaani lazima awe kitumbo wazi kama vile anatumikia masharti ya mganga wake.Moja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu
Mtajwa jina hapo juu kwama tutakua pamoja humu JF maombi yangu kama shabiki kindakindaki
I beg you very much, utuimbie nyimbo za kiswahili tu hivi karibuni umekua tofauti sana unaimba nyimbo zenye lugha ya Kiingereza binafsi naona unatukosea
Of the heart
Exalioth
HahahahaHarmonise anaimba hivyo makusudi wanaiga wanaigeria
Mama ndio muitaliano baba wa Morocco hapoSara mzungu
Mkuu hii ipo kwenye nyimbo gani dah nimecheka walahBaby tomato [emoji534] sweet like mango
Are u the living dead dude?Ni muimbaji mpya wa twanga pepeta au fm academia? Kitambo sipo mjini nijuze tafadhali.
Namuangaliaaa halafu nasema hiiiiii[emoji86]
Kwamba unachotaka we ndio afanye.Hiyo ni platform mpya kwake.Jiulize wazungumzaji wa kiswahili duniani ni wangapi,nakiingereza ni wangapi na hapo utajua ni kwa vp anaweza kuongeza solo la Muzik I wake kwani atawafikia watu wengi zaidi duniani.Moja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu
Mtajwa jina hapo juu kwama tutakua pamoja humu JF maombi yangu kama shabiki kindakindaki
I beg you very much, utuimbie nyimbo za kiswahili tu hivi karibuni umekua tofauti sana unaimba nyimbo zenye lugha ya Kiingereza binafsi naona unatukosea
Of the heart
Exalioth
Kwamba unachotaka we ndio afanye.Hiyo ni platform mpya kwake.Jiulize wazungumzaji wa kiswahili duniani ni wangapi,nakiingereza ni wangapi na hapo utajua ni kwa vp anaweza kuongeza solo la Muzik I wake kwani atawafikia watu wengi zaidi duniani.
Are u the living dead dude?
kuna clip alikuwa harusini dogo akavua shati, kwa akili yake anaamini anawapagaisha mademu akiwa kifua waziMzee wa A go die na kila video lazima avue shati yaani lazima awe kitumbo wazi kama vile anatumikia masharti ya mganga wake.
Dah hii comment inachekesha..jamaa anazingua na lahaja yake anayofundishwa na yule Skales.You go burst my medula
[emoji16] [emoji16] [emoji16] wa kwaya mkuuNi muimbaji mpya wa twanga pepeta au fm academia? Kitambo sipo mjini nijuze tafadhali.
Trust me..Wamakonde wanawazidi wasukuma kwa ulimbukeni
kuna clip alikuwa harusini dogo akavua shati, kwa akili yake anaamini anawapagaisha mademu akiwa kifua wazi
Harmonize - Fall in loveMoja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu