Harmonize unamuimbia nani Kiingereza?

Tangu Magufuli awe Rais kumekuwa na idadi kubwa ya watu kulalamika wakiona Kiingereza.

Kwani kuna ulazima gani wa wewe kukomalia 'threads' au nyimbo zenye lugha usioifahamu
Alafu yeye mwenyewe hapo kaweka kakiingereza uchwara
 
Mzee wa A go die na kila video lazima avue shati yaani lazima awe kitumbo wazi kama vile anatumikia masharti ya mganga wake.
Unamaanisha kila nyimbo lazima awe uchi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye "One night stand" ndo kaniacha hoi baada ya kutamka "one night STAND" Kama ilivyo, ye anaimba "one night STEND" ambayo inapotosha maana ya wimbo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti stend, umeamua kumfokea, si ndiyo?
 
hivi hiyo living dead kwa kiswahili fasaha ni nini?
marehemu anaeishi? Na je kinachoishi kinaweza kuwa marehemu? Au katika ulimwengu wa kiroho.
Mkuu, Leaving Dead maana yake ni mfu anayeishi na siyo marehemu anayeishi. Wajuvi wanaweza kosoa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…