Harmonize, very talented musician ever...

Mnatumia nguvu nyingi kinyama kumpigia promo huyo kifutu

Talent?kwa nyimbo ipi?aendelee tu kuwa na hamu ya kuto...
 
[emoji28][emoji28] mbona nguvu nyingi
 
Mnatumia nguvu nyingi kinyama kumpigia promo huyo kifutu

Talent?kwa nyimbo ipi?aendelee tu kuwa na hamu ya kuto...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Daah.

Dogo awe makini hii biti sample ya Yerusalem.
 
KUNA WASANII UKIINGIA INSTA UNAWEZA JUA NI WASANII WAKUBWA.UKIJA KWENYE UHALISIA HATA MARIOO NI MKUBWA SANA KWAO
 
Huyu jamaa alikua vizuri mno, kipindi kile cha ngoma zake..
Aiyola
Matatizo
Kwangwaru
Enzi yuko wasafi na muda mchache baada ya kujitoa alikua anatoa ngoma nchi inastuka ila kwasasa jamaa anatoa boko sana.

Sasa hiki ni kinini na kingereza chake cha ajabu, kwa ufupi tu ni kua dogo anapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…