Harmonize vs ali kiba? Nani mkali

Sungura[emoji235] Vs Tembo[emoji208]
 
Nasikia kiba anaogopa kutoa wimbo kwa sasa hivi maana anaogopa anaweza asipokelewe vizuri, seduce me ili hit sababu ya huruma ya mashabiki baada ya domo na timu yake kutoa nao wimbo jioni ile ile aliyotoa kiba.

Kondeboy yupo kikazi zaidi. Nampa konde boy.
 
Ali kiba ni huruma tu ya mashabiki ila wasanii wengi wanafanya vizuri kuliko ali kiba. Mtu ndani ya miaka 3 anatoa nyimbo mbili
 
labda ni kweli humkubali au huenda huzijui nyimbo zake za kutosha.... vyovyote vile iwavyo ulichokifanya ni udhalilishaji mkubwa sana. MPENI KIBA HESHIMA YAKE
 
Jina lako linasadifu akili yako... Empty Set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…