Harmonize Vs Diamond

Huyo ni harmonize hapa tunamsema Raymond ni watu wawili tofauti , harmonis anapenda sifa ndo maana c unajua watu wa nanjilinji[emoji12] [emoji12]
hata harmonize alianza kuwa mstaarabu
sasa hivi mtaona huyo ray jimama analotoka nalo
 
wimbo wa matatizo watu wanajaribu kuupandisha lakini hamna kitu pale, Raymond afadhali sana mashairi yake yako soft lakini yametulia
 

Acha kumpotosha.
 
Kumbe Diamond alitoa nyimbo akiwa na papa wemba?
 
Huna Akili! Unaweza kulipa wewe pesa ya Harmonize kuvunja mkataba? Unadhani wanafanya kazi kishkaji?
Nyie ndo Wachawi mlioua ndoto za Wasanii wengine, unamdanganya "Ooh achana na Man Walter, unaweza Simama peke yako! Au njoo ntakusimamia" at the end anafeli, Mwanga mkubwa wewe
 
Amakweli nimeamini kuna pumba zingine huwa zikibadilika na kuwa pumbavu!
 
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuwatifautisha hawa, Mimi nawaona wanafanana kila kitu.
Kipindi kile unaponda,Diamond ndio alikuwa anajitahidi kumpush harmo mpaka kafika level za juu,leo kapost album ya harmo unamwita mnafiki,wakati ww kuanzia 2016-19 unaponda leo 2020 unajifanya kumkubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…