Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
mwanamke akikimbizana na dunia hii ya leo atateseka sanaakidai kuwa dunia ya sasa inataka wanawake wa muonekano fulani.
Elimu ni changamoto sana! Anashauri wenzake ujinga! Amezoea kuuziwa mbuzi kwenye gunia!Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa inataka wanawake wa muonekano fulani.
Akitolea mfano wa aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize amesema aliwahi kumlipia gharama za surgery kwa sababu mpenzi huyo hakuwa na hali ya kujiamini.
Naam huku Tako mtaji.Daslam bhana!
Twataka vya kienyeji yaheeeVya sajary sio tunataka vyenye ni natural