Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijasikia sababu ya kuachana na boss wake, wewe ni mwandishi kanjanja
Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.
Sasa hivi hasikiki sana!Kiki ime xpire [emoji23][emoji23][emoji23]
Usimkatishe tamaa mkuu! HahahahahaKashapotea
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
kpndi cha clouds hcho knaitwa family love kwa hyo msanii anafanyiwa interview nyumban kwa mtu na hyo dada ni faiza allyInteview sebuleni kwa mtu
FAIZA ALLYHuyo dada vipi tena? Hapo ndio studio au vipi?
faiza aly yule wa suguYaan kilichoniboa ni Aina ya mtangazaj àliye kuwa na muulize maswali.
Yaan maswali hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu sitizamagi TV sana...kpndi cha clouds hcho knaitwa family love kwa hyo msanii anafanyiwa interview nyumban kwa mtu na hyo dada ni faiza ally
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
poa mkuuOk mkuu sitizamagi TV sana...