Harmorapa aeleza sababu ya kuachana na meneja wake

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154

Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.

Kashapotea

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.

Huyo dada vipi tena? Hapo ndio studio au vipi?
 
Kiki ime xpire [emoji23][emoji23][emoji23]
 
nyuzi zake zimekua adim sana hapa

kapatwa na nini
 
Mtoa mada umezngua hyo intaview hakutaja kama ameachan na meneja wake

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…