Yeye si ndo meneja.ha hahaa ..ila Hawa Jamaa si wanasemaga kuwa wana pesa"" sasa mbona wanamuacha Jamaa yao adharilike hivi aisee..""
hahaa...kwahiyo " wanamtazama tu""...aiseee""Yeye si ndo meneja.
Show off tu zile mkuu. Si unajua wanapenda sana kujiona wao wa tofautiha hahaa ..ila Hawa Jamaa si wanasemaga kuwa wana pesa"" sasa mbona wanamuacha Jamaa yao adharilike hivi aisee..""
mtihani sana "" ...kwahiyo wanawaonaga" watu wanaoficha mafaniko yao ni wajinga "" daaahh haya balaa hilo alie nalo tu"" hapo hata kama atatoka "* lakini lazima aweke"" bond nyumba yake ili aweze kukopeshwa hizo pesa ..hakuna mtu wakumpa kiasi chote hicho bure bure tu""".....hiyo ndio ile aliyosema pr.jay " unapiga hatua 10 mbele"" unarudi nyuma kwenye mbili nakujipongeza...."""Show off tu zile mkuu. Si unajua wanapenda sana kujiona wao wa tofauti