Harmorapa atua msibani kwa Waziri Mwakyembe, afunguka haya

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Msanii wa muziki wa hip hop, Harmorapa amekuwa mmoja kati ya wasanii waliofika kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah. Rapa huyo alipata nafasi ya kuuzungumzia msiba huo na namna ulivyoigusa tasnia ya burudani.

Chanzo: Bongo 5
 
Kwa kiki hajambo...amerudi kutoka china nasikia

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Kweli jamaa kiboko ya mabishoo,mgumu mpaka mwisho,hata akicheka anaonekana kanuna.
 
ahahaha kibiti akafe?

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Ha ha ha ha ha ana kwambia maisha matamu chuma ajawah kuona ile mh ali tolewa kipindi kile
 
Ha ha ha ha ha ana kwambia maisha matamu chuma ajawah kuona ile mh ali tolewa kipindi kile
Hahaah noma mkuu...anaiheshimu pipe sasa hivi

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…