Kupitia kiki hawa wana beba warembo wenye shobo mkuuHahaah noma mkuu...anaiheshimu pipe sasa hivi
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Na ameshapata wengi inaonesha [emoji23][emoji23][emoji23]Kupitia kiki hawa wana beba warembo wenye shobo mkuu
😀 😀 muhuni hafai kabisaNa ameshapata wengi inaonesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
hahahaha😀 😀 muhuni hafai kabisa
Ha ha ha noma sana mzee baba joseversthahahaha
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Ngoja tusubirie kiki nyingineHa ha ha noma sana mzee baba joseverst
Hiyo mbegu ngumu kumeza!Wolper angevuta Hamoraper kum replace Harmonies
Asipondwe ye nani,mbona yeye anawaponda wenzake .....?Watu mnamponda lakini kijana kaongea vizuri tu.hayo kumdiss sijui nini hakutaka ni mungu ndio alivyomuumba..ngozi nyeusi hii tuna matatizo ndio maana wazungu wanatufananisha na nyani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu mkuu kama umemeza Omo.?Ulishapondwa nae nini?Asipondwe ye nani,mbona yeye anawaponda wenzake .....?
Kha...!Jamaa ana sura ngumu utadhani anajisaidia ile nnya ngumu! Ila nadhani ndiye msanii wa kwanza kwenda kwenye msiba wa mke wa Dr.
Sent using Jamii Forums mobile app