[emoji3] [emoji3] [emoji3]mademu wa JF wanampenda sana huyu jamaa ila kwa siri sana.
kweli mkuu huyu dogo ni kiboko ya mabishooHuyu dogo kwa style hii ya kurap namtabilia kuwa mTZ wa kwanza kubeba BET..........maana uwezo wake si wa nchii hii
Bwana mdogo anayekuja juu kwenye anga ya muziki anayetamba na ngoma yake ya usigawe pasi ambay
e pia anafananishwa kimuonekano na sura kwa mbali na mwanamuziki kutoka WCB ,Harmonize ,amedai kuwa yeye ni mwanamuziki mzuri kuliko Harmonize sema tu alichelewa kutoka pia amedai kuwa hata wakiandaliwa live performance yeye na Harmonize basi atamkimbiza vibaya kama Harmonize haamini hivyo waandaliwe show aone kama anachosema ni kweli au lah
Harmorapa akaendelea kusema kuwa kinachomfanya Harmonize aonekane yupo vizuri ni media zinazo mbeba na WCB nzima yeye peke yake hajui kuimba.
Harmorapa pia alidai kuwa yeye ni team kiba damu na atafanya juu chini amshirikishe kiba kwenye ngoma zake zinazokuja .
Harmorapa pia ameendelea kung'ang'ania jina hilo na kudai kuwa halibadilishi kamwe kwa kuwa atapoteza mashabiki wake atachokifanya labda kuongeza AKA tu basi .
Harmorapa amesema kwa sasa anafanya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili wake uwe wa kuvutia zaidi(sexy body)uwe wa ki super star zaidi kwa kuwa yeye kwa sasa si underground tena bali ni super star hivyo basi lazima ajiweke kisupee star ili aendane na jina lake na ndio maana hata zile studio alizokuwa anaenda zamani kwa ajili ya kurecord ngoma zake haendi tena kwa kuwa si hadhi yake amewaachia underground yeye anaenda studio zenye hadhi yake
View attachment 477337
Huyu bwana mdogo naona amesahau ule usemi unaosema fanya ufanyavyo lakini sikio alizidi kichwa .
Watu wa Harmorapa wa Marketing mpo vizuri sanaBwana mdogo anayekuja juu kwenye anga ya muziki anayetamba na ngoma yake ya usigawe pasi ambay
e pia anafananishwa kimuonekano na sura kwa mbali na mwanamuziki kutoka WCB ,Harmonize ,amedai kuwa yeye ni mwanamuziki mzuri kuliko Harmonize sema tu alichelewa kutoka pia amedai kuwa hata wakiandaliwa live performance yeye na Harmonize basi atamkimbiza vibaya kama Harmonize haamini hivyo waandaliwe show aone kama anachosema ni kweli au lah
Harmorapa akaendelea kusema kuwa kinachomfanya Harmonize aonekane yupo vizuri ni media zinazo mbeba na WCB nzima yeye peke yake hajui kuimba.
Harmorapa pia alidai kuwa yeye ni team kiba damu na atafanya juu chini amshirikishe kiba kwenye ngoma zake zinazokuja .
Harmorapa pia ameendelea kung'ang'ania jina hilo na kudai kuwa halibadilishi kamwe kwa kuwa atapoteza mashabiki wake atachokifanya labda kuongeza AKA tu basi .
Harmorapa amesema kwa sasa anafanya mazoezi kwa ajili ya kuweka mwili wake uwe wa kuvutia zaidi(sexy body)uwe wa ki super star zaidi kwa kuwa yeye kwa sasa si underground tena bali ni super star hivyo basi lazima ajiweke kisupee star ili aendane na jina lake na ndio maana hata zile studio alizokuwa anaenda zamani kwa ajili ya kurecord ngoma zake haendi tena kwa kuwa si hadhi yake amewaachia underground yeye anaenda studio zenye hadhi yake
View attachment 477337
Huyu bwana mdogo naona amesahau ule usemi unaosema fanya ufanyavyo lakini sikio alizidi kichwa .
Anatokea Koromije au wapi?Harmorapa
Hahahahhaha umeona eeh yaan mim mwenyew kimenichosha balaa na habar zake zisizoeleweka kinatafuta kiki tuHuyu nimemchoka, anatujazia server tu na habari zake za kipumbavu, kanapenda kiki kazi zenyewe hatuzioni, ww mazoezi gani unafanya huku umevaa jeans na mlegezo upuuzi mtupu.
Mimi mwenyeq sikipend kqa kwelHapana ,harmorapa anachukiwa na wanaume hasa mimi ni miongoni mwa watu tusiompenda harmorapa kwa sababu ya kupenda kiki za kijinga
Wadada wengi wanamkubali
Hahaha sikujisikia kucomment ila imenibidi. Kwamba hawataki kupeana pathi!Kwa WCB harmonize ni wa mwisho kwenye kuimba..... hahahaha naona wamakonde wanabanana hawapeani pathi
Hatumpendi sababu ana showoff za ajabu ajabu, anatumia nguvu nyingi sana kuutafuta ustaa [emoji57] [emoji57]Hivi kwa nini watu hamumpendi Harmorapa?
Mi mbona naona yuko poa sana.
Nazipenda sana swagga zake yaani.
He is really growing on me.