Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

uyu dogo akikaza hivi hivi na hizi kiki zake..atafika mbali sana.

mziki wa bongo hauhitaji kipaji, bali unahitaji kiki na promo za kizawa.
 
Huyu nimemchoka, anatujazia server tu na habari zake za kipumbavu, kanapenda kiki kazi zenyewe hatuzioni, ww mazoezi gani unafanya huku umevaa jeans na mlegezo upuuzi mtupu.
Kazi huzioni wee wa wapi ,Muulize Mode Iyobo atakupa habari za Harmorapa
 
[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG]
 
Huyu nimemchoka, anatujazia server tu na habari zake za kipumbavu, kanapenda kiki kazi zenyewe hatuzioni, ww mazoezi gani unafanya huku umevaa jeans na mlegezo upuuzi mtupu.
Kazi huzioni wee wa wapi ,Muulize Mode Iyobo atakupa habari za Harmorapa
 
Mtakuja tu kumwomba mpige naye selfie [HASHTAG]#kiboko[/HASHTAG] ya mabisho)
 
Harmorapa...kiboko ya mabishoo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli harmonize hamfikii huyu dogo hata kidogo, dogo akiendelea hivi ndo atatuwakilisha kimataifa kama diamond miaka ijayo
 
Huyu nimemchoka, anatujazia server tu na habari zake za kipumbavu, kanapenda kiki kazi zenyewe hatuzioni, ww mazoezi gani unafanya huku umevaa jeans na mlegezo upuuzi mtupu.
Pozi kwa pozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…