Harmorapa kajiunga Freemason?

pmonluv

New Member
Joined
May 22, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo
.
JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPA
 

Attachments

  • 1425358c713822ab09a96f8108562068.jpg
    165.4 KB · Views: 239
Nikuuliza kunamtu anajua maana ya Freemanson? Ningependa kwa mtu ambaye anajua anachoongea siyo uliyosikia kwa mtu au watu.
Kwani wengi wetu tuna upotofu fulani kuhusu hawa jamaa wa Freemanson.
 
Use poor people to be rich TANZANIA BWANA WAJINGA WENG SN freemason n nn buuu shit niga!!!!
 
Wakuu hyo habari sio ya kweli, ila hao matapeli walioweka namba zao hapo juu na majina sijui kaka mark Richard ndo matapeli wakubwa wanatumia hii thread kujitangaza ili wapigiwe simu.. My Take mods waufute Uzi huu haraka sana la sivyo Jukwaa la JF litakua linatumika kutangaza utapeli wa wazi wazi
 
Ukiangalia kwa umakini tu huo mkono wenye Pete sio wa kijana ni kama wa mzee, Huyu mleta Uzi ni mmoja wao ndo maana wameweka na namba zao ili mtu awapigie..
 
Hahahahahahahah daaaah jamani mrudisheni huyo mmako de kwao anakoelekea kubaya sasa[emoji1]
 
Inawezekana kulingana na zile criticize psychologically ni ngumu kuchomoa kujiunga ili kutaka fame na heshima kwa watu
 
mzee wa kiki kila kitu kwake kiki
 
Bongo kuna Freemason na Filimisoni, sasa utajaza mwenyewe.
 
Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo
.
JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPA
Kwani lucifer anaweza,kuweka mtu milele?Inthe,Ee,Mungu utusaidie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…