Harmorapa kama kweli anapenda kiki avae sare za polisi aende Kibiti, tuone kama atarudi salama

Joined
Jan 29, 2017
Posts
61
Reaction score
66
Habar wanajamvi... Kijana kutoka Ntwara ajulikanae kama *Harmorapa* hit maker wa Nundu... Nimekuwa nikimfuatilia sana kupitia social media mbali*2 lakini nimekuja kugundua kuwa kinacho mpa jina mjini ni KIKI,mfano wa kiki hizo ni kushobokea mambo mbali mbali ili aweze ku~hit kwenye mitandao za kijami
Sasa mmi nasema kama kweli anaona kiki zinafaida kwake na zinampa ulaji mjini Basi afanye kuazima sara za police Avae aende KIBITI Tuone kama atakuja kuhit tena kwenye media
.. Maana kibiti kunawatu wasiojulikana wanamaliza sana police wetu.
 
Hahshs nma
 
Back
Top Bottom