Harmorappa arudi upya

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Jana katikati homecoming ya Ali Kiba Harmorappa alitua JK Nyerere na chama lake kumkaribisha Ali Kiba nyumbani...Huku amechapia tishet ya KIBA ADDICT aliweka wazi kuwa yupo hapo sio kwa team Ila kwa kuwassupport wasaniii wenzake ambao wanafanya vizul
 
Mnampa kiki mno huyu dogo [HASHTAG]#overrated[/HASHTAG]
 
Wasanii wenzake?????
Kweli huu ni usanii mtupu
 
Bado namtafuta aliemfananisha na harmonize sijamjua,
 
Bodyguard wake kamchukua kama kapata ya uwepo wa vilipuzi eneo Hilo. [emoji23][emoji23]
Siajabu alikuwa anawahi camera nyingine hihihihiii
 
Meneja wake na team yake nimewakubari, laiti kama angekuwa anafanya mziki mzuri angefika mbali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…