Tulitegemea utoe kauli juu ya kukamatwa Kwa hawa akina Slaa et al. Unakwenda Ikulu kupokea viwanja na kuomba uteuzi.
Uliaminiwa sana na waliikuchagua, sasa umewasaliti.
Kwa vipade vya fedha (kiwanja for that matter) huwezi kuyakemea mapungufu ya Samia
Kuna burning issue ya haki za watu kikuukwa, unakaa kimya kupokea viwanja!
Pia soma > Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja