ajabu sana yaani unataka mtu afikiri na kutenda kama wewe ? Ifike mahali ukubaliane kutofautiana hususani mtazamo. eti umewasaliti😳Tulitegemea utoe kauli juu ya kukamatwa Kwa hawa akina Slaa et al. Unakwenda Ikulu kupokea viwanja na kuomba uteuzi.
Uliaminiwa sana na waliikuchagua, sasa umewasaliti.
Waliofanya naye kazi pale kituo Cha Msaada wa kisheria kwa Bi Kijo( now Anna Henga) wanasema ni mwoga kupindukia na ni one of them!Tulitegemea utoe kauli juu ya kukamatwa Kwa hawa akina Slaa et al. Unakwenda Ikulu kupokea viwanja na kuomba uteuzi.
Uliaminiwa sana na waliikuchagua, sasa umewasaliti.
hilo likiwanja sijui anaendanalo wapi? wakati hata jengo jipya pale chato street mawakili bado wanalipia hata wanaoapishwa bado wanakatwa deni la ujenzi, kwa kweli kajua kutuvua nguo. ngoja tuchutame tuTulitegemea utoe kauli juu ya kukamatwa Kwa hawa akina Slaa et al. Unakwenda Ikulu kupokea viwanja na kuomba uteuzi.
Uliaminiwa sana na waliikuchagua, sasa umewasaliti.
Tatizo lako Hujui kuwa huyu alikabidhiwa dhamana ya majukumu ya TLS. Ameyaweka pembeni na kuweka tumbo lake mbele. Kuna burning issue ya haki za watu kikuukwa, unakaa kimya kupokea viwanja!ajabu sana yaani unataka mtu afikiri na kutenda kama wewe ? Ifike mahali ukubaliane kutofautiana hususani mtazamo. eti umewasaliti[emoji15]
sio Lazima ashughulike nazo kwa mihemko na muda unaotaka wewe.Tatizo lako Hujui kuwa huyu alikabidhiwa dhamana ya majukumu ya TLS. Ameyaweka pembeni na kuweka tumbo lake mbele. Kuna burning issue ya haki za watu kikuukwa, unakaa kimya kupokea viwanja!
amepotoka, haaminiki tena maishani. sawa na Dr. Slaa, haaminiki ila kwa hili tunaangalia haki yke iheshimiwe.......lkn haaminikisio Lazima ashughulike nazo kwa mihemko na muda unaotaka wewe.
Haraka ya nini, nadhani anajua anachopaswa kufanya be patient give him time