Harominize apewa tuzo na kampuni ya YouTube.

Hongera kwake kapiga hatua
 
Hongera sana Harominize YOU MEDE IT.
View attachment 1171901
Shida yako nini haswa?
JF naijua kipindi yupo C.T.U
Na kipindi ilidukuliwa 2015 wakati wa uchaguzi.
Nilikua msomaji tu na sikua na account humu so 2018 isikutishe.
Kipindi nipo sekondari halafu nilikua sinaga habari za kuingia mitandaoni.
Tena JF haikuwa na muonekano huu.


Usihukumu usichokijua.
 
Mkuu Sijakusoma kabisa,wapi nimezungumzia safari yako ya JF? Wapi Nimekuhukumu? Mie Nimempongeza Harominize,HE MEDE IT kupata 1milioni Subscribers.
 
Nikiongea mazuri yanayofanywa na serikali, navamiwa na upinzani.

Nikikosoa makosa ya serikali navamiwa na chama tawala.

Nikikaa kimya navamiwa na wananchi wote wakereketwa Sasa si mninyongeeeee tuuu !!!
hahaha..... una pepo wewe jamaa.
 
inawezekana jinsi ya kujaza hajui ili youtube wamtumie...ingekuwa ni tuzo ingeambatana na kupostiwa na account za youtube...ila alichopata huyu jamaa ata wewe unaweza kupata sio tuzo...watanzania tusipende kukuza mambo
Tuheshimiane basi mkuu. Yaani kiba na management yake yote hawajui jinsi ya kuwajaza ila wewe ndio unajua?! Asee yani Afrika nzima wanaojua kujaza kwa upande wa wasanii ni hao wanne tu?! Hili rungu nimelikwepa.
 
Kuanzia 1M subs youtube wanakupa hiyo title, sio tuzo sema wabongo hawaelew
bora umeniunga mkono....wabongo washamba sana...sasa kama ni tuzo si hiyo youtube itafirisika maana wenye subscriber zaidi ya hiyo ni wengi mno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…