Nyavoregwa
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 118
- 325
Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema WAZOEFU unaelewa maana ya uzoefu!!???Mtaendelea kubishana kwa sababu specification za hiyo gari ujazitupia hapa ukubwa wa Engine cc zake maana zipo tofauti..
Niliona jamaa amesimama baada ya daraja, maeneo ya Tbt, saa moja moja hivi usiku, ana mchuma wa muingereza ule wa kisasa kabisaa, landrover sijui, uko kama box kwa nyuma.Hafu gari la Mil 70 unawazaje fuel consumption?
Discovery 3 au 4.. 🤣🤣Niliona jamaa amesimama baada ya daraja, maeneo ya Tbt, saa moja moja hivi usiku, ana mchuma wa muingereza ule wa kisasa kabisaa, landrover sijui, uko kama box kwa nyuma.
Kucheki, anamimina wese kutoka kwenye kigaloni cha lita 5 kile kuingia kwenye tanki la mafuta ya gari.
Ilikuwa kipindi cha chuma lakini.
Umeme Mwingi Sanahivi hybrid si gari zenye kutumia rechargeable battery?
Ndo hii hii, nyeusi sasa!
Unauliza ipi kati ya DAA-AVU65W au MHU38W?Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
Mbona anazouza Lukosi kule facebook zina cc 2,700?Ndo hii hii, nyeusi sasa!
Mbona anazouza Lukosi kule facebook zina cc 2,700?
Diesel usiogope cc mkuu