Harrier Hybrid Consumption

Nyavoregwa

Senior Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
118
Reaction score
325
Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
 
Hafu gari la Mil 70 unawazaje fuel consumption?
Niliona jamaa amesimama baada ya daraja, maeneo ya Tbt, saa moja moja hivi usiku, ana mchuma wa muingereza ule wa kisasa kabisaa, landrover sijui, uko kama box kwa nyuma.

Kucheki, anamimina wese kutoka kwenye kigaloni cha lita 5 kile kuingia kwenye tanki la mafuta ya gari.

Ilikuwa kipindi cha chuma lakini.
 
Discovery 3 au 4.. 🤣🤣

Chuma unakuta una cc 4000.

Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
Unauliza ipi kati ya DAA-AVU65W au MHU38W?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…