jahanbaksh
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 122
- 161
kwa Harrier bado sana hiyoNaona imepigana vita na mwendo imeumaliza 241,499km!!?
sawa mkuu, sema nashindwa upload pichaTulia andika kwa umakini...hakuna cha urgent, weka picha taratiiibuu
picha tayari mkuuPicha ziko wap
mwaka iliyotengenezwa mkuu2004? Duhhh
Ndio,kwa maana showroom baadhi wanacheza sana na mileage mkuuIkishasajilia bongo hii mileage itashuka hadi 41,000km
Mbali sana mkuu, hilo ni anguko la karibia 40% kwenye bei ya awaliukipewa 3000$ isiachwe
USD 5000 mbona cheap sana kwa Harrier
Imelipiwa ushuru?
Ndio maana tupo honest na hilo hatutaki ubabaishaji. Reputation nzuri ndio mtaji wetu mkuu tunaoulindakm laki 2 ikitoka tuu utaikuta ina elfu 60