Harrier new model vs Kluger

Maranzana

Senior Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
192
Reaction score
97
Naomba ushauri juu ya hizo gari. Ipi ninunue?
Za miaka inayofanana 2004 - 2006
cc sawa 2,360
4WD or not
Advice requested urgently
 
Nunua yote, ila 4WD ni bora zaidi. Epuka kununua 2WD. zinasumbua sana, hasa kipindi cha mvua kama sasa, au kama unakaa kwenye mamchanga, panapoteleza
 
Nunua yote, ila 4WD ni bora zaidi. Epuka kununua 2WD. zinasumbua sana, hasa kipindi cha mvua kama sasa, au kama unakaa kwenye mamchanga, panapoteleza

Asante. Kati ya hizo ipi imara zaidi au ipi nyanya?
 
Naipenda hii gari kinyama (harrier new model) estimates yake mpaka parking home inaweza fika ngapi now???
 
Naomba ushauri juu ya hizo gari. Ipi ninunue?
Za miaka inayofanana 2004 - 2006
cc sawa 2,360
4WD or not
Advice requested urgently
Harrier usiilinganishe na Kluger Mkuu, It is a beautiful standard car. Labda bajeti ikubane.
 
Harrier new model unaijua ?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1461066705.615910.jpg
    4.9 KB · Views: 249
Harrier new model huwez kuifananisha na kluger new model mm kwa mtazamo wangu kluger new model ipo kama landcruiser amazon au kilimo kwanza manake ni v6 zote alafu ni cc 2400 wakati harrier new model ni cc 2000 alafu ni v4, labda kama mnazungumzia harrier na kluger second generation manake kwa hizo harrier ipo vizur zaidi ni SUV ya ukweli sana huwezi kuifananisha na kluger gari zote hzo nimeendesha harrier inachanganya haraka zaid kuliko kluger hata stability barabarani harrier unaweza maliza kibao cha speed isiwe na shida tofauti na kluger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…