Car4Sale Harrier New Model

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,383
Reaction score
11,197
Gari ya kisasa Harrier New model inauzwa ni nzima kabisa.

Piga 0754-394195 chap uichukue bei 65m maelewano yapo,

Year of manufacture 2015

Odometer km 23670

 

Attachments

  • IMG-20221005-WA0010.jpg
    71.7 KB · Views: 19
Sio lazima ujimilikishe gari ya watu,
We sema inauzwa!

Madalali kiboko
Mimi dalali tu Mkuu na hizo namba ni zake kaniomba nimtangazie,

Labda ningesema mwenye namba hizo anauza gari kapata safari za nje haraka blah blah na nauli ya ndege.
Wakati wa kujibu angalia masharti ya jukwaa Admini kasemaje? Namna ya kutangaza matangazo haya.
 
Extrovert anajua sana maswala ya magari. Wacha aje tumsikilize.
Nimeshawasili wanandugu, hio ni 3rd Generation ya Toyota Harrier. Sema imenipa wakati mgumu kuamini usajili wa gari wa 2015 inawezekanaje 7 years ahead gari iwe imetembea 20K+ kms?

Kwa wastani oil change za gari kwa mwaka ni kati ya 5-8 times. Assume kila oil change ni baada ya 3000kms je kwa hizo mara ina maana kila mwaka gari itameza kati ya 15,000 hadi 24,000 kms. Kuna jambo haliko sawa
 
Sasa watz wengi ODO ikisoma 145K wanaona imechoka.. watafanyaje mzee
.......
Nimesahau na namba D au E🤣🤣
 
Mmmh!
Odometer km 23,670
Number plate DDY (hivi hii ilitoka mwaka gani?)
Bei 65mil
 

Hivi DD... sio kuwa imesajiliwa 2014 hivi?
 
Mkuu ukwaju ile jukwaa yetu enzi ukituwekea picha sawa iko wapi?
 
Baiskeli yako Umeshindwa Kuziba Pancha leo nawe kabisa unataka Kujitutumua kuonyesha kuwa unataka Kuinunua hii Gari? Yaani hapa JamiiForums kila Member ni Milionea tu na ana Maisha mazuri. Kazi Kweli Kweli.....!!!!!!

Mkuu nakuheshimu sana ! Sina uhakika kama unajua naendesha gari au niko status gani! Najua unaifahamu Fortuner new model…

Nimemuuliza muuzaji taarifa za msingi ili ndugu jamaa na rafiki wanaohitaji tuwaonyeshe wamuunge mkono.

Naheshimu mawazo yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…