Harrier Tako la Nyani Linahitajika

Harrier Tako la Nyani Linahitajika

Mpuretamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,376
Reaction score
2,285
Wadau, kuna mdau anahitaji gari tajwa hapo juu..
Iwe haijasafiri Sana
Haijapata ajali na kurudiwa rangi
Iwe na cc 2.4
Iwe na hali nzuri
Iwe namba D
Bajeti yake ni tshs 16 m

Karibuni..
 
Halafu jamani, huu mnada ninaouona huku kupatana, umekaaje?
 
Kuna jamaa linamnyima usingizi
aingie www.zoomtanzania.com ajaze ile chart pale pa mwaka aandike 2005 maana zimeshatoka za 2014
Used 2005 Harrier at TSh 14,500,000 piga simu kwa huyo tajiri/ Dalali
2005 Harrier TSh 14,500,000


1582317636889.png
 
Back
Top Bottom