gari ya nyumbani tu hiyo. kama ni mtu wa kazi na safari gari isiyo na tairi la akiba (spare tire) si sahihi. ukipata bust kubwa(tairi kuchanika) unapata shida sanaBora achukue Vanguard!
Lakini sio kwa kijana asali ya warembo ,pisi zinaitambua HarrierKluger naona ni gari sahihi Kwa watu wenye Akili timamu