Harris anamwambia Netanyahu 'ni wakati' wa kumaliza vita huko Gaza

Ustaadhi ulikua unataka waongezeke wangapi ili allah afurahi huko peponi?
Mkuu tangu Oct 7 Israel waliokufa ni 1200. Je Tangu siku hio hakuna alieuliwa Tena na Hamas?. Ndicho nachojiuliza ili kutafuta mantik ya habari. Kama hawajaongezeka au wameongezeka wangapi mm hilo sifahamu lkn naamin mleta mada atakuwa anafahamu
 
Israeli haiwezi kushinda vita vya Gaza, itaondoka tu kama alivyoondoka mmarekani Vietnam
 
Your browser is not able to display this video.
 
US in media: Sitisha vita haraka huko Gaza
US behind the scene: Chukua silaha zote, piga kabisa hao Hamas, Hezbollah, Houthi, all Iran proxies in Lebanon, Syria, Yemen etc, piga maliza wote na sisi USA tuko na nyie milele na kuwalinda na support yetu kwenu Israel ni 100%..!!

Majinga yatqsikilizq media, but wanashangaa actions zinazoendelea ni tofauti na ahadi zitolewazo viongozi wa US kwenye media. US lazima uijue vema.

Kwani Kamala Harris si alikuwa Makamu wa Rais, kwanini hakusitisha vita? Hana lolote, msanii tu.
 
Usidanganyike na hizo kauli, Sera ya Marekani huko mashariki ya kati haijawahi kubadilika. Na urafiki wa Israel na Marekani hautenganiki kamwe.
Kanisa alafu nini Kamala Haris hiyo kauli Biden keshaitoa zaid ya mara 10 na kichapo kipo pale pale.
 
Mkuu tangu Oct 7 Israel waliokufa ni 1200. Je Tangu siku hio hakuna alieuliwa Tena na Hamas?. Ndicho nachojiuliza ili kutafuta mantik ya habari. Kama hawajaongezeka au wameongezeka wangapi mm hilo sifahamu lkn naamin mleta mada atakuwa anafahamu
Tuletee wewe idadi waliokufa baada ya Oct 7 maana mtoa mada amesema ni 1200. Naona kama unalazimisha waongezeke.
 
Mwongo tu huyo kama walivyo wenzake wote.
 
kama mnachoma bendera zao na kuimba Death to america , sasa unategemea mpendwe?

Qur’an imeshawazungumzia enyi watu 👇 hamtakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zenu, so hawajaanza leo kutuchukia makafiri.
Usidanganyike na hizo kauli, Sera ya Marekani huko mashariki ya kati haijawahi kubadilika. Na urafiki wa Israel na Marekani hautenganiki kamwe.

Soon israel mtamsahau, na itabakia historia.
 
Hussein alipenda ugomvi kuliko suluhu,kwanini alishupalia kuwa kiongozi!?
 
Hivi vitabu vya hadithi vinaleta shida sana kwa binadamu!
Mpaka wamekuwa MAZUZU! 🤬🤬🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…