Harris Kapiga Ana Makelele Kwenye Kipindi cha Temino

Secret person

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
242
Reaction score
363
Wakuu..

Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino.

Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea.

Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
 
Wakuu hivi huyu jamaa ana mishe gani mjini nje ya utangazaji, naona watu wanamsifia sana na yeye kutwa kuchwa kwenye utangazaji wake anawaponda vijana.
Au ndiyo mojawapo ta motivational speaker
 
ni mjasiriamali nasikia + motivesheno spika
 
Watu waliotokea vijijini hawana elimu wakabahatisha maisha mjini..wengi ni washamba sana malimbukeni..

Kiufupi ni vilaza..waliojificha kwenye vijipesa walvyonavyo.

Elimu muhimu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23] Mkuu sijui kama umeelewa kilicho andikwa.
 
Wakuu..

Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino.

Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea.

Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
Afadhali umeandika maana Leo nilikuwa namsikiliza hapa nikashindwa kuelewa mbona anaongea kishabiki na makelele ingali content ya kipindi ni nzuri Ila hawatoi nafasi kwa wanaowahoji kuongea vya kutosha.

Pia wanapiga makelele zaidi kushinda hata waliyemwalika kwenye kipindi na kuna fala mmoja anaongea nae sijui ni nani anaongea Kama shoga kipindi Cha kipumbavu sana.

Halafu nae amekaa Kama choko. Apunguze makelele atulie kipindi kina content nzuri aache ujingaujinga
 
Nilisikiaga nae no kocho jamaa waliosoma nae wanamjua
 
Mtangazaji
Mc
Muhamasimashi..
Mengine🤔..ngoja kwanza
 
Mm niliambiwa ni gay

Na alienambia alinambia kuwa ana nyumba bagamoyo ambayo huwa anaendaga ku chill mara moja moja..huko ndo anafukunyuliwa
 
Jamani vibaya hivyo, hamjui kama huyo jamaa ni mchungaji wa watu.
 
Back
Top Bottom