Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 242
- 363
siku hizi vipindi vya redio vimegeuka kijiwe cha kupiga soga tuWakuu..
Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino.
Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea.
Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
Yaani watu nje ya maadili ya kazi kabisasiku hizi vipindi vya redio vimegeuka kijiwe cha kupiga soga tu
Mwijaku na Baba levoMakelele anapiga zembwela na mbwiga.
wanasema content + attentionYaani watu nje ya maadili ya kazi kabisa
ni mjasiriamali nasikia + motivesheno spikaWakuu hivi huyu jamaa ana mishe gani mjini nje ya utangazaji, naona watu wanamsifia sana na yeye kutwa kuchwa kwenye utangazaji wake anawaponda vijana.
Au ndiyo mojawapo ta motivational speaker
[emoji23] Mkuu sijui kama umeelewa kilicho andikwa.Watu waliotokea vijijini hawana elimu wakabahatisha maisha mjini..wengi ni washamba sana malimbukeni..
Kiufupi ni vilaza..waliojificha kwenye vijipesa walvyonavyo.
Elimu muhimu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Afadhali umeandika maana Leo nilikuwa namsikiliza hapa nikashindwa kuelewa mbona anaongea kishabiki na makelele ingali content ya kipindi ni nzuri Ila hawatoi nafasi kwa wanaowahoji kuongea vya kutosha.Wakuu..
Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino.
Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea.
Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
Afadhali umeandika maana Leo nilikuwa namsikiliza hapa nikashindwa kuelewa mbona anaongea kishabiki na makelele ingali content ya kipindi ni nzuri Ila hawatoi nafasi kwa wanaowahoji kuongea vya kutosha.Wakuu..
Sio Mpenzi wa kusikiliza Redio Ila Niko sehemu Fulani naisikilizia kipindi cha Temino.
Harris Kapiga Ana makelele Jamani.,Yaani Hampi Nafasi mgeni Rasmi Kuongea.
Sijui Shida nini na Huyo mtangazaji mwenzake ndo Pumba Kabisa.
*MtangazajiMtangazaji
Mc
Muhamasimashi..
Mengine[emoji848]..ngoja kwanza