Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Huenda.Hongera yake.
Mimi sio Mungu.
Lakini haya yatakuwa mashindano yake ya Mwisho ya Fainali za Kombe la Dunia.
Muingereza hawezi kucheza Akiwa na Miaka 36,37.
Wewe na Ronaldo tu kila uzi.Kwani alikufanyia figisu usiwe mbeba jezi wa Kinesi FC?Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥
Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥
Captain Kane, Goal Machine wa England, Sniper wa Bavarians, Number 9 wa Three Lions,The Hurricane anaendelea kufanya mambo kimya kimya huku records zikiongezeka 😅🔥
Kane kafikisha mabao hayo ndani ya:
-World Cup 3 tu
-Mechi 12 pekee 🔥
Wakati huo Cry-naldo:
-Amecheza World Cup 6
-Zaidi ya mechi 25
-Lakini bado amebaki mabao 8 😅🔥
Cha kuogopesha zaidi:
-Kane bado ana miaka 32 tu
-Anaendelea kufunga
-Na bado ana nafasi kubwa ya kuongeza numbers zake 🔥
Kwa sasa Cristiano Camel anaonekana kujivunia zaidi kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi mitandaoni 😅🔥
Kwa nini?Mods unganisha nyuzi hizi
Sasa si ndio GOAT🤣🤣🤣Wewe na Robaldo tu kila uzi.Kwani alikufanyia figisu usiwe mbeba jezi wa Kinesi FC?
Mpambe andunje.Sasa si ndio GOAT🤣🤣🤣
Hujaona kuwa ni tofauti?Zinafanana
Mods unganisha nyuzi
Zote Zina lengo la kumchamba RonaldoHujaona kuwa ni tofauti?
Ile inaongelea rekodi ya Ronaldo na hii inaongelea rekodi ya Kane.
Tayari nimeshazungumzia kuhusu kumfikia Miroslav Klose.Mpambe andunje.
Au wewe ni shabiki wa Cry-naldo?Zote Zina lengo la kumchamba Ronaldo
Unaonaje Kwani ?Au wewe ni shabiki wa Cry-naldo?
Ambaye hayupo WC?Rudi kwa andunje!Tayari nimeshazungumzia kuhusu kumfikia Miroslav Klose.
Nimehisi tu kuwa huenda hupendezwi na negative comments kwa Cristiano Camel.Unaonaje Kwani ?
Hakuna aliyekuwepo WC ambaye anamfikia La Pulga Atómica.Ambaye hayupo WC?Rudi kwa andunje!
Tatizo lako unachamba sana ila ki ukweli japo ni ngumu kumeza Ronaldo ameishaNimehisi tu kuwa huenda hupendezwi na negative comments kwa Cristiano Camel.
Sasa akianzia bench halafu zikapatikana penalties muda ambao yeye yupo sub itakuwaje migo?Tatizo lako unachamba sana ila ki ukweli japo ni ngumu kumeza Ronaldo ameisha
Pia nilitaman aanzie tu benchi aache madogo wacheze
Mreno jeHongera yake.
Mimi sio Mungu.
Lakini haya yatakuwa mashindano yake ya Mwisho ya Fainali za Kombe la Dunia.
Muingereza hawezi kucheza Akiwa na Miaka 36,37.