Unachamba sana 😂 acha niishie hapa kwa Leo muda wako wa kutamba huuSasa akianzia bench halafu zikapatikana penalties muda ambao yeye yupo sub itakuwaje migo?
Huoni kama atapoteza nafasi za bure za kufunga?
Anaweza akapiga wangi aachiwe akaipige tu halafu arudi benchi. Jamaa anazipenda sanaSasa akianzia bench halafu zikapatikana penalties muda ambao yeye yupo sub itakuwaje migo?
Huoni kama atapoteza nafasi za bure za kufunga?
Sawa migo ila ukipata nafasi tukutane tena tuzungumzie records mpya zitakazowekwa na La Pulga Atómica siku kadhaa zijazo.Unachamba sana 😂 acha niishie hapa kwa Leo muda wako wa kutamba huu
Jana jamaa alikuwa anazurura tu ili akisubiri penalty nne zipatikane apige zote amzidi Messi, ila ndio hivyo wacongo wakawa hawawakati kwenye boksiUnaonaje Kwani ?
Messi hakuna record atakayoiweka LABDA kwa taifa lakeSawa migo ila ukipata nafasi tukutane tena tuzungumzie records mpya zitakazowekwa na La Pulga Atómica siku kadhaa zijazo.
Team PENaldoMessi hakuna record atakayoiweka LABDA kwa taifa lake
Ziachwe zitambae hivihiviMods unganisha nyuzi hizi
Wema Sepetu ana mtoto wa kiume ni suala la muda tuKwa sasa Cristiano Camel anaonekana kujivunia zaidi kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi mitandaoni 😅🔥
Haujui kwamba akifunga bao moja pekee kwa sasa ataweka new record ya top scorer of all time in world cup?Messi hakuna record atakayoiweka LABDA kwa taifa lake
Nakubaliana na wewe acha tusubiri huenda Portugal wakapata too many penalties mechi zijazo.Wema Sepetu ana mtoto wa kiume ni suala la muda tu
Wakati huo mbappe amelala au ? Hiyo record ni ya mbappe hata andunje mwenyew anajuaHaujui kwamba akifunga bao moja pekee kwa sasa ataweka new record ya top scorer of all time in world cup?
Huyo Takataka Mbappe asilinganishwe na Messi. Messi akiwa na umri wa Mbappe alikuwa amesha-achieve vingi sana ambavyo Mbappe haja-achieve.Wakati huo mbappe amelala au ? Hiyo record ni ya mbappe hata andunje mwenyew anajua
Labda iwe view once
Mbappe mpaka mashindano yajayo.Wakati huo mbappe amelala au ? Hiyo record ni ya mbappe hata andunje mwenyew anajua
Labda iwe view once
Si ndiyo view once hiyo au unaonajeMbappe mpaka mashindano yajayo.
Yupi?Huyo jamaa anajua kufunga tu
Kwani Rashford hawamtaki?Mashabiki wa Man U jana wamelala wakiwa na huzuni kubwa.