kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa nao kane ni hatari sana imefika kipindi apumzike ili awaachie vijana wabebe kombe tu.